Joshua Nassari ,afichua siri ya Madiwani Chadema kujihudhuru Arusha


       Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia wananchi katika Jimbo lake ametoa sababu zinazo wafanya Madiwani wa Arusha kupitia tiketi ya CHADEMA kujihudhuru na kuzingizia kwamba wanaunga mkono utendaji wa Rais .John Magufuli .
       Nassari amesema anaushahidi wa kielektroniki kuwa madiwani hao walihongwa rushwa ili wajihudhuru nafasi zao.Akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake Nassari amesemma amekuwa akijiuliza kwa kipindi kirefu sana alipokuwa masomoni Nchini Uingereza  ni kwanini Madiwani wa Arusha wanajihudhuru ndipo alipoamua kufanya uchunguzi wa kina
       Nassari ,ambaye aliongozana na Mbunge wa Arusha mjini Mh: Godbless Lema  katika mkutano huo amesema alianza kufanya uchunguzi huo mei kwa  kutumia vifaa vya kielektroniki alivyo vinunua nchini Uingereza  na kubaini kuwa baadhi ya Madiwani wanaojihudhuru walipewa rushwa ya fedha na ahadi ya vyeo.alisema kuwa hakuna Diwani aliyejiuzuru kwa kumuunga mkono Rais bali madiwani wote walojiuzuru walipewa rushwa.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post