Afunguka sakata la membe profesa baregu 2020

profesa Baregu amefunguka dhidi ya sakata la tuhuma la Benardi membe kuanza mapema mchakato wa kuanza kuwania nafasi kugombea  urais 2020  ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao,  jambo ambalo limewekwa wazi na katibu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally limemuibua mjumbe mkuu wa kamati ya Chadema, Profesa Mwesegu Baregu.

          Pofesa Baregu ameeleza kuwa sakata hilo linatoa fursa chanya kwa kambi ya upinzani endapo halitatafutiwa ufumbizi mapema, Kwani inaonesha dhahiri ndani ya CCM bado kuna makundi.
         "Membe [wa Twiter] amejibu vizuri kidiplomasia Ila naona huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM  ni kama naona kuna makundi sasa .Mambo yanaweza kuwa magumu kwa CCM kwa sababu wanaweza kupata mgombea ila asiungwe mkono na wanachama wake wakachukua hatua ''Alisema Profesa Baregu.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post