GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE

 Grossal Institute Training College ni Chuo cha binafsi kinachotoa kozi mbalimbali kwa wahitimu wote wa kidato cha nne na kuendelea.Chuo kipo Makambako Mkoani Njombe
 Pia chuo kinahostel kwa wanachuo wanao toka mbali .Ni chuo kinacho weza kumuwezesha ajira  mwanachuo pindi amalizapo masomo yake.
 P.O.BOX 369 ,MAKAMBAKO -NJOMBE
TELL: 0762624906
EMAIL.grossalinstitutetrainingc@gmail.com
KOZI ZINAZOTOLEWA  CHUONI NI PAMOJA NA

     .JOURNALISM , NEWS WRITING ,RADIO  & TV BROADCASTING
      HOTEL MANAGEMENT  &  FRONT OFFICE OPERATION
    .TOURISM ,TRAVEL AGENCY & WILDLIFE MANAGEMENT
    .NURSERY SCHOOL TEACHING
    .COMMUNITY & DEVELOPMENT
     SECRETARIAL COURSE
     COMPUTER APPLICATION STUDIES .

   FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA CHUONI MAKAMBAKO KWA SH 15000/= TU
AU UANAWEZA KUWASELIANA KWA SIMU 0762624906 AU TUANDIKIE KUPITIA BARUA PEPE YA grossalinstitutetrainingc@gmail.com.

Kwa elimu bora Jiunge  na chuo bora . GITC MAKAMBAKO

1 Comments

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post