Magufuli atengua barua ya matumizi ya Bendera ,Nembo na Wimbo wa Taifa

          Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakt ,Jonh Pombe Magufuli amefuta  maelezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia juu ya matumizi sahihi ya Bendera ,Nembo pamoja na Wimbo wa Taifa  Amesema kuwa baruahiyo inatoa maelezo yanayoathiri uzalendo wa Watanzania  na kuleta mkanganyiko.                                    

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post