Mseveni amteua kanali luteni edith nakalema kupambana na rushwa nchini uganda

Raisi yoweri mseveni wa uganda ameteua kitengo kipya cha kupambana na rushwa,ufisadi nchini uganda na hasa katika idara zote za serikali kuchunguza tatizo la rushwa
                


Raisi Museveni amesema jukumu la kupambana na rushwa liko kwa wananchi,ambao amewataka wawasiliane na kitengo hicho kipya kitakacho hudumu moja kwa moja chini ya ofisi yake.
     kiongozi huyo ambaye yupo katika uwajibikaji wa selikari yake, wakati akikabiliwa na changamoto na upinzani kutoka kwa wanasiasa wanao vutia wapiga kura vijana -kama mwanamziki na mbunge Bobi wine.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post