seneti ya marekani imelaaniwa na saudi Arabia kwa 'kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake'.

   Saudi Arabia imepotezea mbali maazimio ya Bunge la Seneti la Marekani ya kutaka kusitishwa kwa msaada wa kijeshi wa Marekani katika vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia nchini yemen.


       Serikali ya Seneti imemlaumu mwanamfalme wa Saudia kwa mauaji ya mwanahabari wa nchi hiyo Jamal Khashoggi nchini Uturuki.
        Wizara ya mambo ya nje ya Saudi Arabia, imeelezea hatua hiyo kama kuingilia masuala ya ndani ya taifa na kutoa "madai yasiyo ya kweli''.
        Maamuzi hayo ya Marekani yalitolewa Alhamisi  wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa ni ishara tu na hakuna uwezekano mkubwa wa kufanywa kuwa sheria inayoweza kutekelezwa karibuni.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post