Mwandishi wa habari atunukiwa tuzo

Mkurugenzi wa mtandao wa jamii  forums Maxence Melo Mubyazi, amesema kuwa tuzo ya kimataifa ya uhuru wa habari ina muongezea hamasa zaidi ya kufanya kazi yake ya kiuandishi wa habari.
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Mubyazi anasema tuzo ya CPJ) itamsaidia katika ufanisi wa kazi
               Akizungumza na shirika la utangazaji la kimataifa B.B.C .mwandishi huyo ambaye ndiye mshindi wa tuzo ya kimataifa  ya uhuru wa habari mwaka 2019  .amesema "  kwakweli kwanza itaniongezea ufanisi wa kazi 'utendaji wangu kwa kweli utaboreka unajua baada ya kufanya kazi kwa juhudi zote,nimetuzwa hili linanitia moyo sana;amesema bwana melo.

Tuzo hiyo ya kamati maalumu ya kuwatetea waandishi wa habari duniani (CPJ) hutolewa kwa waandishi wa habari waliopitia vikwazo vya kisheria

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post