Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine Ikulu

          Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli afanyauteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi TRA.
        Kwa mjibu wa Raisi Magufuli amemteua Dkt Selemani Magesa Missango kuwa Mw/kt wa bodi ya Wakurugenzi TRA .

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post