NHIF Yatoa Ufafanuzi Juu ya Taarifa za Ongezeko la Michango ya Wanachama



Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zinadai kuwa kuna ongezeko la uchangiaji kutoka TZS 18,000 hadi TZS 40,000.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post