Akili mali afariki dunia

 Mapema hii leo Machweo Communication News imepokea taarifa ya kufariki dunia aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee Yanga ,Bagamoyo Mkoani Pwani.

        Kutokana na taarifa hii mbaya tunawapa pole sana kwa Ngudu,Jamaa na Marafiki ikiwemo Klabu ya Yanga sambamba na Mashabiki wake.
   Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amin.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post