Ndege Mpya iliyokuwa imekamatwa Canada kuwasili leo
Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imekamatwa nchini Canada itawasili nchini leo Jumamosi Desemba 14, 2019 katika Uwanja wa Ndege jijini Mwanza.
Akizungumza na waandishi wa habari jana  Ijumaa Desemba 13, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amesema ndege hiyo itapokewa saa 8 jioni.

Amewaomba wananchi wa ndani na nje ya mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushuhudia tukio hilo.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post