ZITTO KABWE AMPONGEZA MBOWE KWA KUCHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI CHADEMAChama cha ACT Wazalendo kimetoa pongezi kwa Viongozi wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Zitto ameandika “Nakupongeza Freeman Mbowe kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Nawapongeza wana CHADEMA kwa kumaliza Mkutano Mkuu wa Chama na kuchagua safu ya Uongozi kwa miaka mitano ijayo. Tushirikiane kuweka mikakati ya pamoja kuhami demokrasia yetu.”

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post