Wazee wa Nyanda za Juu kusini wa mvalisha Mh.Mbowe Vazi la Mgolole ishara ya heshima

Wazee wa Nyanja za Juu Kusini (Njombe) wamemvalisha Mhe Freeman Mbowe vazi la mgolole ishara ya heshima kwa kazi anayofanya ya kupigania haki za watanzania wote, pia wamempa Mkuki ishara ya uimara wa kiongozi, na Mbuzi mboga ya kuboresha afya yake ili safari ya mapambano iendelee

Image

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post